Tuesday, February 7, 2012

SIMBA SC "YAMPIKA" FELIX SUNZU


KLABU ya Simba imesema iliamua kumweka benchi mshambuliaji wake raia wa Zambia, Felix Sunzu (pichani), kwenye mechi dhidi ya Villa Squad Jumamosi iliyopita ili awe fiti katika mchezo dhidi ya Azam utakaochezwa Jumamosi ijayo kwenye Dimba la Taifa, Dar es Salaam.

Sunzu hajacheza mchezo wowote wa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara kutokana na kuwa na maumivu ya kifundo cha mguu aliyoyapata kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Tusker mwezi mmoja uliopita.

Akizungumza na Mguso, Ofisa Habari wa Simba, Ezekiel Kamwaga alisema Sunzu alipona tangu wiki iliyopita lakini waliamua kumtunza kwa ajili ya mchezo wa Jumamosi dhidi ya Azam.

“Sunzu yupo fiti kuwavaa Azam na ndiyo risasi tuliyoiweka benchi kwa ajili ya kumaliza kazi haraka Jumamosi pale Uwanja wa Taifa. Tunatambua ugumu wa mechi hiyo ndiyo maana tukaamua tumpumzishe dhidi ya Villa,” alisema Kamwaga.

Mchezo dhidi ya Azam unatarajiwa kuwa mkali na wa kusisimua kutokana na Azam kuwa katika mwendo mzuri katika ligi kwa sasa huku ikiwa imeshinda mechi zote tatu za mzunguko wa pili na inashika nafasi ya pili nyuma ya Simba kwa tofauti ya pointi mbili.

PAPIC AGOMA KUMUWEKA "PEMBENI" CANAVARO

LICHA ya kukosekana kwenye kikosi chake kwa takribani siku tano, Kocha Mkuu wa Yanga, Kosta Papic, amesema hatamweka benchi beki wake wa kati, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ .

Cannavaro aliondoka Yanga kwa siku tano na kuelekea kwao Zanzibar kwa ajili ya msiba wa dada yake kabla ya kurejea juzi Jumatatu.

Akizungumza na Mguso, Papic alisema licha ya kutokuwepo kambini, beki huyo lazima atacheza mechi ya leo dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
 “Licha ya Cannavaro kuchelewa kujiunga na wenzake kwenye mazoezi ya pamoja, hainifanyi nisimpange kwenye mechi ya Jumatano (leo). Ninaheshimu uwezo wake, sioni sababu ya kumweka benchi,” alisema Papic.

Cannavaro ndiye nguzo ya ulinzi kwa mabingwa hao wa Tanzania Bara.

MOHAMMED MWAMEJA AKICHAMBUA "KIWANGO" CHA JUMA KASEJA


KIPA wa zamani wa Simba, Mohammed Mwameja, ameutaka uongozi wa klabu hiyo kuhakikisha unampa kipa Juma Kaseja, msaada wa kisaikolojia kabla ya mchezo dhidi ya Kiyovu.

Mwameja ambaye aliwahi kuidakia timu hiyo kwa mafanikio makubwa akiwa na sifa ya kuokoa mashuti pamoja na penalti, alisema haridhishwi na kiwango cha Kaseja kwa sasa.

Akizungumza na Mguso, Mwameja alisema Kaseja anatakiwa kutengenezwa kisaikolojia na kimazoezi kabla ya mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Wanyarwanda hao.

 “Kaseja anahitaji msaada wa haraka wa kutengenezwa, kwa sasa inaonekana kama hayupo fiti. Jinsi alivyo siyo Kaseja ninayemfahamu. Nilifanikiwa kumuona wakati wa michuano ya Chalenji, siyo Kaseja yule wa miaka mitatu iliyopita.

“Sijajua tatizo ni nini mpaka amepoteza uwezo wake, nafikiri hata umri unachangia na kucheza mechi nyingi mno ni tatizo,” alisema Mwameja.

Simba inatarajiwa kucheza na Kiyovu kati ya Februari 17 na 19 mwaka huu jijini Kigali na kurudiana kati ya Machi 2 hadi 4 jijini Dar es Salaam.

MILOVAN AWAKATAA NYOTA WAPYA SIMBA


LICHA ya uongozi wa Simba kuwaleta nyota watatu wa kimataifa kwa ajili ya kufanya majaribio kabla ya kuwapa mikataba, kocha mkuu wa timu hiyo, Milovan Cirkovic, amesema hana habari na wachezaji hao.

Simba imewaleta Nkanu Khumalo, Freddy Kamere kutoka Motema Pembe na AS Nika za DR Congo, pamoja na nyota mmoja aliyejulikana kwa jina la Kanu aliyekuwa akiichezea Cosmos ya Afrika Kusini, kwa lengo la kuwatumia katika robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kama itafanikiwa kutinga hatua hiyo.

Wachezaji hao wametua nchini Ijumaa iliyopita na walitarajiwa kuanza majaribio chini ya Cirkovic, lakini cha ajabu kocha huyo Mserbia amesema hajui chochote kuhusiana na ujio wa nyota hao.

Akizungumza na Mguso, Milovan alisema amewaona nyota hao mwishoni mwa wiki iliyopita lakini hajui lolote kuhusiana nao.

 “Hakuna ninachojua kiundani juu yao, lakini ukweli ni kwamba nimewaona wiki iliyopita lakini bado sijajua lolote, nadhani viongozi wa juu wanaweza kuliongelea hilo kwa kuwa hata leo (juzi) sijawaona mazoezini,” alisema Milovan na kuongeza:

“Binafsi bado sijapendekeza lolote kuhusu wachezaji ninaowataka kwa kuwa bado naendelea kuwafuatilia kwa karibu wachezaji waliopo sasa, lakini pengine niulize kwa kipindi kijacho naweza nikawa na majibu sahihi zaidi.”

NUSU WA WANAUME TANZANIA NI WAGUMBA........

UTAFTI mpya umebaini kuwa nusu ya wanaume nchini ni wagumba ukipingana madai ya wengi kuwa tatizo hilo linawaathiri zaidi wanawake.Kwa mujibu wa utafiti huo, uliofanywa na Chuo Kikuu cha Tiba Muhimbili kati ya mwaka 2009 na Septemba 2010 unaonyesha, asilimia 47.05 ya wanaume wanaokwenda kupima afya zao za uzazi, hawana uwezo wa kutungisha mimba.Malengo ya utafiti huo uliosimamiwa na Dk Henry Mwakyoma, yalikuwa ni kubaini ni kwa kiasi gani wanaume huweza kuathiriwa katika via vyao vya uzazi na hatimaye kushindwa kutungisha mimba.

Utafiti huo  ulionyesha kati ya wanaume 221 waliopimwa, asilimia 30.03 walikuwa na mbegu dhaifu na asilimia 17.02 walikuwa hawana kabisa mbegu zenye uwezo wa kutungisha mimba, zaidi ya maji tu.

Akizungumza katika mahojiano maalumu na Mwandishi wa habari hii, Dk Mwakyoma alisema, ugumba kwa wanaume limekuwa tatizo sugu katika miaka ya hivi karibuni.

“Nasisitiza kuwa, pengine mwanaume aliwahi kupata watoto hapo awali, lakini sasa hivi hapati, bado atakuwa mgumba,” alisema Dk Mwakyoma.Alisema hapo awali ilikuwa vigumu kupata idadi kamili ya wanaume wenye ugumba kwa sababu walikuwa hawajitokezi kupima.“Angalau sasa hivi wanakuja  na tunawapima, ingawa ni kazi ngumu kuwapa majibu yao,” alisema Mwakyoma.

Sababu za ugumba
Mwakyoma alitaja sababu za ugumba kwa wanaume kuwa ni uambukizo katika tezi inayozalisha manii.
Alitaja sababu nyingine kuwa ni kemikali zinazoingia katika miili yetu, mionzi na wakati mwingine ajali inapoathiri tezi hiyo.

Dk Mwakyoma aliongeza kuwa, wanaoathirika zaidi ni wanaofanya kazi migodini, jeshini au wanaozungukwa na kemikali kwa muda mrefu.“Sababu nyingine ni joto kuzidi katika sehemu za siri za mwanaume, kubeba laptop, unene kupita kiasi na mazingira,” alisema.

Dk Mwakyoma akifafanua  jinsi kitengo chake kinavyopima manii  ili kujua kama zina matatizo au zipo salama, alisema, " rangi ya mbegu pamoja na umbile huangaliwa ili kutambua ubora wake. Hata kwa kuziangalia tu, mbegu zenye rangi aidha kijivu au nyeupe si salama.”

Kwa upande wake, Dk Innocent Mosha, ambaye ni daktari wa uchunguzi wa magonjwa katika Hospitali ya Muhimbili alisema, wamefanikiwa kupata takwimu hizo kutokana na wanandoa wengi kufika hospitalini hapo kwa ajili ya kujua sababu ya kutokuwa na watoto katika ndoa yao."Mara nyingi matokeo huonyesha tatizo liko kwa mwanaume. Lakini kuna tabu ya kuwaeleza ukweli, wengi hawataki kukubali," alisema Dk Mosha.

Aliongeza, “Kesi kama hizo huleta migogoro ya kifamilia, kwani huenda mwanamke huyo amekwishamzalia mumewe watoto ambao kimantiki si wa kwake,” alisema Dk Mosha.

CHANZO: MWANANCHI

HATULIPANI TENA POSHO....NDUGAI

 
Ndugu zangu,

Gazeti Uhuru  jana Jumanne limebeba habari hiyo kwenye ukurasa wa kwanza.
Mwandishi Lilian Timbuka akiripoti kutoka Dodoma  anamnukuu Naibu Spika wa Bunge Job Ndugai akitamka; ” Nyongeza ya  posho ya vikao vya bunge sasa haitalipwa mpaka hapo Ofisi ya Rais, Ikulu, itakapotamka vinginevyo. Kwa kuwa  Rais ndiye mwenye  mamlaka ya kuidhinisha vibali vya nyongeza za malipo kwa wabunge, ikiwemo posho na hajatoa kibali, hivyo haina haja ya kuendeleza mjadala kuhusu hoja hiyo”- Job Ndugai, Uhuru, Jumanne, Februari 7, 2012.


Nionavyo:
Iko haja , kama nchi, kuendeleza mjadala huu wa posho kwa vile suluhisho la kudumu halijapatikana. Tuendelee kujadili  maana  posho za waheshimiwa sasa ni moja ya kero za wananchi.  Tumefika mahali tuamue, kama taifa, tunatunga sheria itakayopiga marufuku ya posho za vikao kwa  viongozi wakiwamo wabunge na watumishi wa Serikalini na Mashirika ya umma.

Kuendelea na utamaduni wa kulipana posho ni kundekeza  utamaduni wa hovyo hovyo.  Kwanini Mbunge au Mtumishi Serikalini alipwe posho ya kikao  wakati yuko kazini?  Kwanini mtumishi akikaa ofisini kwake Wizarani halipwi posho bali mshahara na anapohamishia kazi ya Wizara  Ubungo Plaza analipwa posho ya kukaa na kufanya kazi hiyo hiyo anayolipwa mshahara kila mwezi? Huu ni  ufujaji wa fedha za wananchi. Ni ufisadi.

Hatukubali kauli za kuwa Wabunge wetu wana hali ngumu. Eti tunaambiwa  posho wanazopata zinawasaidia katika kuwasaidia wananchi majimboni mwao. Hivi ni wapi panaposema kuwa kazi ya mbunge ni kugawa fedha kwa wananchi wa jimbo lake?  
Eti tunaambiwa pia, kuwa Mbunge inapofika mwisho wa mwezi anakosa hata fedha za mafuta ya gari yake!  Hapa kwanza inategema anatumia gari ya aina gani na anaitumiaje. Na hakika, mbunge anayekosa hela ya mafuta ya gari yake yumkini anayeshindwa kusimamia mapato na matumizi yake kiasi cha kuishiwa hata fedha ya kujaza mafuta ya gari yake, basi, atakuwa amepungikiwa hata na sifa za uongozi.

Ndugu zangu,

Matatizo mengi ya kiuchumi ya wabunge wetu ni ya kujitakia. Na matatizo mengi ya kiuchumi ya wananchi walio wengi yanachangiwa sana  na baadhi ya viongozi tuliowapa dhamana  kuendekeza ubinafsi.  Tuna viongozi leo wanaonyesha kuwa mbali na wananchi na kukosa mguso wa hali halisi za wananchi. Wamesimama  juu kwenye Ivory towers wakati wananchi nchi wakitahabika.  Wabunge wetu kuendelea kung’ang’ania nyongeza ya posho katika wakati huu mgumu kwa wengi ni kielelezo cha wao kukosa mguso na hali halisi za wananchi wanaowawakilisha.

Na kuna waheshimiwa wanaosema, kuwa hawakuchaguliwa kuwa wabunge ili wawe masikini. Nasi tunasema,  tumewachagua kuwa wabunge ili waende wakatutumikie  wananchi na si matumbo yao.

Ndugu zangu,

Yawezekana kabisa unavyosoma  makala hii kuna mama MTanzania anayejifungua akiwa  amelala sakafuni, au kuna mtoto wa KiTanzania anayekufa kwa malaria kwa vile zahati haina dawa. Ndio hali halisi. Huu ni wakati kwa viongozi wetu kuacha kuendekeza ubinafsi. Sakata la wabunge kuongezewa posho ni kielelezo cha ubinafsi.

Viongozi wakiwamo Wabunge waanze sasa kuwafikiria wananchi ambao wengi wako katika hali mbaya
kiuchumi. Ni wananchi hawa ambao miongoni mwao kuna wakulima. Ni wakulima hawa ambao posho ya laki mbili kwa siku kwa mbunge ingetosha kwa mkulima huyu kununua mbolea mifuko mitatu ya kila hamsini kwa mfuko. Ni mbolea ya kupandia na kukuzuia kwa ekari moja. Tujiulize; tuko sasa kwenye ”

Kilimo Kwanza au Wabunge Kwanza?” Na kuna kisa cha ndani ya kitabu cha ’ Animal Farm’- "Shamba la Wanyama". Katika kitabu hicho;Mwandishi George Orwell anatupa taswira ya jamii tunayoishi. Mwandishi anaandika juu ya wanyama waliochoshwa na hali ya kunyanyasika kama watumwa , adha na maovu ya kila namna waliofanyiwa na Bwana Jones, mmiliki wa shamba na binadamu wengine.

Wanyama waliamua kufanya maasi. Walifanikiwa na kuwaondoa shambani wanadamu wote. Walianza kujitawala. Hali ilibadilika ghafla. Napolioni ambaye ndiye alikuwa Nguruwe Mkuu, alianza udikteta. Napolionibalifanya matendo ya uovu. Alijipendelea na aliwapendelea nguruwe wenzake. Shambani humub tunakutana na wanyama wa kila aina, mathalan, kuna kondoo wapumbavu, na hata mbwa wenye hasira fupi za mara kwa mara. Kuna kuku na mabata wenye hofu kubwa wakati wote.



Inaonyesha pia ni jinsi gani, baadhi yetu wanadamu, mara tu tunapokutana na madaraka, basi, huvimba vichwa na kujiona tuna tofauti kabisa na wengine tulio nao kwenye kundi moja. Tunajibagua kuto ka kwenye kundi kuu na kuunda tabaka letu. Tunalewa madaraka.



Kisa cha "Shamba La Wanyama" kinatukumbusha wajibu wetu. Kwamba siku zote tuwe macho dhidi ya wale wote wenye hulka za kidikteta. Wenye kujipendelea na kutanguliza maslahi yao mbele kuliko ya umma. Wenye kufanya maamuzi bila kutuhusisha wananchi. Bila kusubiri wala kusikiliza maoni yetu. Bila kutujali.

Katika kitabu hiki tunaona pia jinsi wanyama wanavyoshindwa kudhibiti hali iliyoko. Kudhibiti mwelekeo wao. Wanashindwa kufanya hivyo hata kama wanaona kwa macho yao maovu yafanyikayo. Tunaona ni jinsi gani nguruwe wasivyoaminiwa na "ndugu zao". Kwa maana ya wanyama wenzao shambani. Kwamba nguruwe wameachana na dhumuni halisi la kufanya mapinduzi, kupata uhuru wao. Dhumuni la kujitawala. Nao wamegeuka wala rushwa na wasio wakweli kama ilivyo katika mashamba ya jirani. Wamelewa madaraka.

Nguruwe hawa wanajaribu kuficha maovu watendayo kwa wanyama wenzao kwa kuwafanya waamini, kwamba bado wanapigania itikadi na malengo yale yale yaliyowalazimisha wafanye mapinduzi. "Komredi!" alitamka nguruwe kwa sauti kuu.

"Sidhani kama mtaweza kufikiri, kwamba sisi nguruwe tunafanya haya kwa kujali maslahi yetu ikiwemo marupurupu mengine? Kwa kweli wengi wetu (nguruwe) hatupendi maziwa na matunda. Binafsi sipendi.

Tunakunywa maziwa na kula matunda kwa lengo moja tu, kutunza afya zetu. Komredi!, Hii imethibitishwa na wanasayansi, kwamba maziwa na matunda yana vitu muhimu ndani yake. Vitu ambavyo ni muhimu kwa afya ya nguruwe.
Mnajua, sisi nguruwe tunafanya kazi kwa kutumia ubongo. Uongozi na utawala wa shamba hili unatutegemea sisi. Hatulali. Usiku na mchana tuko macho kuyaangalia maslahi yenu. Ni kwa maslahi yenu, ndio maana tunakunywa maziwa na tunakula matunda.

 Je, mnajua kipi kitatokea kama sisi nguruwe tutashindwa kutekeleza wajibu wetu? Jones (mkoloni, kama ukipenda) atarudi tena! Ndio, mkoloni atarudi tena! Komredi, nawaambia ukweli." Alitamka nguruwe kwa sauti ya kushawishi ili aaminike huku akitingisha mkia wake. " Kweli, hivi kuna mmoja wetu anayetaka Jones ( mkoloni) arudi tena? (Animal Farm, Uk. 22)
Maelezo ya hapo juu yanaonesha ni jinsi gani nguruwe kwa kutumia hisia na hofu ya Jones (mkoloni) kurudi tena kama nyenzo ya kuendelea kuwadhibiti wanyama shambani. Kwamba wao ndio wenye kuhenyeka na hivyo basi kustahili upendeleo maalumu katika jamii.



Cha kutisha zaidi, ni ile hali ya wanyama hawa kufikia kuchinjana wenyewe kwa wenyewe kutokana na
kuchanginyiwa na kukata tamaa. ( Rwanda, Kongo) Hii inatuonyesha, kuwa hata yale ambayo kimsingi yalifanywa kwa pamoja kwa nia njema kabisa , mathalan, hili la kudai uhuru wetu kutoka kwa wakoloni, hufikia mahala watu wakachinjana katika kudai haki zao.

Tulipo sasa ni kwa baadhi ya viongozi wetu kuiegeuza nchi yetu kuwa ni gulio la mafisadi. Kwamba kila mwenye uwezo atafute mtaji. Awahi nafasi ya uongozi itakayomsaidia kuingia gulioni. Huko ni mahala pa kufanya biashara , si kuwatumikia wananchi. Kwa bahati mbaya, hata rasilimali zetu wanazipeleka gulioni.
Ili kuinusuru nchi yetu, sote kwa pamoja. Bila kujali itikadi zetu za vyama, tuna lazima ya kulifunga gulio hili. Sasa.

Maggid Mjengwa,

MSIMAMO WA " MADAKTARI" BAADA YA KUKUTANA NA KAMATI YA BUNGE


Pamoja na kamati ya bunge ya Maendeleo ya jamii kukaa na madaktari waliogoma leo hii kwa lengo la kuzikutanisha pande mbili zinazovutana ili kufikia muafaka wa mgomo huo ambao umeingia siku ya 14 leo, imefahamika kwamba hali bado ni mbaya kutokana na kushindwa kufikia mwafaka kama ilivyotarajiwa.


Mwenyekiti wa madaktari Dr Steven Ulimboka amesema  kwamba bado wanaendelea na mgomo kutokana na kutoridhishwa na serikali kutofanya kama wanavyotaka.


Dr Ulimboka amesema “mgogoro uko pale pale na hivi ninavyozungumza hospitali ya manispaa ya Temeke pia wameamua kusitisha kazi hali imekua mbaya zaidi pia toka mgogoro huu uanze huko Bugando Mwanza kwa sababu tatizo limekua kubwa sana, mimi kama kiongozi nasikitika sana na namna ambavyo serikali imekua inalichukulia hili swala”


Dr. huyoaliongeza zaidi kwamba “nawashangaa watendaji wa Wizara ya Afya ambao wamepotosha sana na ndio wanaohusika moja kwa moja kwenye mgogoro huu, wako wizarani na hatuoni wanachokifanya, ni wakati sasa wa kuwawajibisha”


kuhusu kikao walichofanya na kamati ya Bunge, Dr Ulimboka amesema “hatuwezi kuzungumzia Cotent ya majadiliano ni kitu ambacho kimakubaliano hatupaswi kukizungumza nje lakini kimsingi hakikua kikao cha maridhiano, ni kikao ambacho tulikwenda kuhojiwa ili ukweli ufahamike”


Bungeni Dodoma leo spika wa bunge Anne Makinda alizuia hoja ya kuahirisha shughuli za bunge na kujadili mgomo wa madaktari bingwa kuzungumziwa kwa kusema kwamba kazi hiyo wameshakabidhiwa kamati ya bunge ya maendeleo ya jamii.

UKIMYA WA KEISHA WAZUA HISIA MBALI MBALI KUTOKA KWA MASHABIKI WAKE


UKIMYA wa msanii wa muziki wa kizazi kipya Keisha, umeanza kuleta maneno mengi kwa wadau wa fani hiyo, huku wengine wakisema hawezi kurejea tena katika fani na kufanya vizuri kama miaka miwili iliyopita.

Chanzo cha habari kilichozungumza nampekuzi wetu  kilisema kuwa msanii huyo mwaka huu anaonekana kuchoka kufanya kazi hiyo ingawa kuna wimbo ambao anaundaa hivi sasa.

Chanzo hicho ambacho kiliendelea kusema kuwa maisha ya msanii huyu kwa sasa ni magumu mno kutokana na sababu mbalimbali za kifamilia ambazo zinamfanya kukosa muda wa kufanya muziki.

“Yaani kuna maswali mengi juu ya ukimya wa
Keisha, lakini baadhi ya watu wake wa karibu wanajua kila kitu, na mara ya mwisho nadhani ni mwaka jana nilisikia kwamba anaweza kuachana na tasnia hiyo na kufanya baishara,” kilisema chanzo hicho cha habari.

Hata hivyo mwandishi wa habari hizi alimtafuta Keisha, ili kuweza kuzungumza mawili matatu juu ya muziki wake, lakini hakupokea simu aliyopigiwa zaidi ya mara 50.

Mpekuzi wetu hakukata tamaa  kumsumbua msanii huyo na alipopokea simu alijibu kuwa anafanya mambo yake mengine lakini hawezi kuacha muziki.

MMOMONYOKO WA ARDHI WATISHIA UFUKWE WA KINGO ZA ZIWA VICTORIA

 Wahenga walisema usipoziba ufa utajenga ukuta. Hii inajidhihirisha katika ukingo wa Ziwa Victoria sehemu za bustani mwanana ya jiji la Mwanza ambapo pametengenezwa na kupandwa nyasi nzuri ili wakaazi wa Rock City wapumzike na kupunga upepo. Tatizo ni kwamba ukuta uliojengwa kwenye kingo za mto huo zimeanza kumomonyoka, na hatua za haraka zisipochuliwa kurekebisha hali hiyo madhara makubwa yatatokea. Isitoshe Globu ya Jamii imeshuhudia watu wakitupa taka kwenye sehemu zilizibomoka!
 Pamoja na mandhari ya kuvutia lakini Hali si shwari kama inavyojionesha...
 sehemu ya uzio nayo imeanza kumeguka. Hii huenda inasababishwa na watu kutumia njia ya mkato baada ya kukosekana pa kuingilia kwa upande huu
 Vibati vya uzinduzi wa bustani hii inasemekana vimeshafanywa chuma chakavu na wajuaji
 Huduma ya maji ya ziwa inapatikana kwa urahisi, hivyo wazee wa jiji la Mwanza shime itunzeni sehemu hii
Huyu mama bila shaka anasikitikia hali ilivyoanza kuwa mbaya sehemu hii mwanana

Monday, February 6, 2012

MAKAMUZI YA JUMA NATURE NA NAMELESS- DAR LIVE

Mshiriki wa shindano la “Cheza, Vaa, Imba Kama Rihanna” akionyesha uwezo wake wakati wa utambulisho wao.
 Kundi zima la Wanaume Halisi likiwajibika jukwaani.
Nameless akitumbuiza na mmoja wa mashabiki aliyemwita apande jukwaani.
 Warembo wakionyesha ujuzi wao.
 Mashabiki waliofurika katika tamasha hilo wakifuatilia burudani hiyo.

"MKASI-S01E12" WITH WEMA SEPETU

ROMA LIVE SHOW @ "MAISHA CLUB"


NEW MUSIC: BASIL AND SWISH -"ROCK FORM"



VIDEO: OMMY G- "MTOTO WA NYUMBA ILE"



WAHU: "STILL A LIAR" (OFFICIAL VIDEO)


SHETTA LIVE SHOW @ "NEW MAISHA CLUB"



FLO RIDA PERFORMS "GOOD FEELING" WITH THE ROOTS ON FALLON


Flo Rida provided the soundtrack for Giants fan during Jimmy Fallon’s post-Super Bowl special in Indianapolis. The Southern rapper joined the legendary Roots crew to perform his celebratory single “Good Feeling” on “Late Night” following Sunday’s big game. The Etta James-sampled song is currently No. 4 on the Billboard Hot 100.





NEW SONG: MADONA FT NICKI MINAJ AND M.I.A - "GIVE ME ALL YOUR LOVING" (LMFAO REMIX)


Fresh off party rocking with Madonna at the Super Bowl halftime show, LMFAO remix the pop queen’s new single “Give Me All Your Luvin’” featuring Nicki Minaj and M.I.A. The animated duo of Redfoo and SkyBlu turn the bubblegum pop confection into a rave-ready record, tacking on their own rap verses that will have you fist pumping all night long.


SAKATA LA MGOMO WA MADAKTARI LACHUKUA SURA MPYA BAAYA YA "MADAKTARI BINGWA NAO KUGOMA "

WAKATI Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma za Jamii ikianza kazi ya kuzungumza na madaktari walio kwenye mgomo, madaktari bingwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) na walio katika Taasisi ya Mifupa (MOI) wamegoma. Mgomo huo wa jana ulihusisha vitengo vyote huku wagonjwa waliokuwa wamelazwa hospitalini hapo wakipewa taarifa za kuondoka katika wodi walimolazwa.

Azimio la mgomo huo lilifikiwa katika kikao cha dharura kilichoitishwa na jopo la madaktari bingwa wakiongozwa na Dk James Rwehabura ambaye ni daktari bingwa wa Kitengo cha Uchunguzi wa Magonjwa ya Binadamu.

Habari za ndani kutoka katika kikao cha dharura cha wanataaluma hao, zilisema uamuzi huo ulifikiwa kwenye kikao cha madaktari hao kilichoanza mapema asubuhi jana na kumalizika saa 6:00 mchana. “Kwa pamoja tumekubaliana kuweka vifaa chini, hii ni kutokana na ukweli kuwa hali ya utoaji huduma katika hospitali hii ni mbaya huku taarifa za Serikali zikiwa siyo za kweli,” alidokeza mmoja wa madaktari bingwa.

Daktari huyo aliyekataa kutaja jina lake, alisema, “Tumekubaliana kugoma hadi hapo Serikali itakapotoa majibu ya madai yote yaliyowasilishwa na jumuiya ya madaktari inayoongozwa na Dk Stephen Ulimboka kwa Serikali.” Jumuiya hiyo iliwasilisha madai mbalimbali likiwamo la kuitaka Serikali kupeleka vifaa na dawa katika hospitali za Serikali ili madaktari hao waweze kutoa huduma bora kwa jamii.

Pia, madaktari hao walitaka kusitisha safari za vigogo kwenda kutibiwa nje kwa magonjwa yanayotibika ndani kwa kile walichodai, hali hiyo inachangia wao kudharauliwa na pia kuzorotesha jitihada za Serikali katika uboreshaji wa mazingira ya kazi kwa madaktari hao.

Kwa nyakati tofauti, madaktari hao walibainisha sababu ya mgomo wao na kudai kuwa, kikubwa ni mazingira magumu ya kazi. Daktari mwingine ambaye hakupenda jina lake liwekwe wazi alisema, licha ya mishahara na posho ndogo, lakini mazingira ya kufanyia kazi yamekuwa magumu mno.

“Tumeshaamua , ‘tools down’ hospitali haina kitu, hata ‘mask’ hakuna badala yake tunavaa gozi tunapofanya upasuaji, acha hiyo, hata nyuzi za kushonea wakati wa upasuaji hakuna,” alisema daktari huyo. Daktari huyo alisema, hawawezi kufanya kazi katika mazingira hayo kwa sababu yatawasababisha kuwa na utendaji mbovu na baadaye taifa kuwalalamikia.

Alisema hapa nchini madaktari bingwa ni wachache, kwa hiyo kitendo cha wao kufanya kazi peke yao bila wasaidizi, yaani madaktari wa mafunzo na wale wanaomaliza, wanaelemewa na mzigo wa kazi. Dk Henry Mwakyoma, Mhadhiri Mkuu wa Chuo cha Udaktari Muhimbili, (MUHAS) ambaye hakuwapo katika kikao hicho cha dharura alidai kuwa, yeye kama mhadhiri hajagoma, lakini alikiri kuwapo kwa mazingira magumu ya kazi.

“Mpaka sasa hatujalipwa mishahara ya mwezi uliopita, halafu kazi yetu ndiyo kama hii tunatakiwa tufanye utafiti, unategemea tutafanya kazi kwa umakini kweli? Tutawafundisha madaktari kwa umakini?” alihoji Dk Mwakyoma.

Mwakyoma alisema, Serikali haiwezi kudai kuwa haina fedha za kutosha wakati imetumia mamilioni ya shilingi katika sherehe za miaka 50 ya Uhuru na uchaguzi wa Igunga. Alisema ni vyema Serikali ikajipanga na kuamua kushughulikia masuala ya madaktari kwa hekima kwani kukaa kimya bila kutoa suluhu ni sawa na kufanya ushindani usio na maana.

Hata hivyo, Ofisa Habari Mwandamizi wa MNH Aminael Aligaesha alisema jana jambo hilo lilikuwa likishughulikiwa kwani vipo vikao vinavyoendelea.

Wagonjwa watimuliwa wodini
Wodi mbalimbali hospitalini hapo zilitawaliwa na vilio kutokana na wagonjwa na ndugu za wagonjwa kupewa taarifa za kuondoka katika eneo hilo mara moja, kutokana na mgomo huo wa madaktari. Mmoja wa wagonjwa waliokuwa wamelazwa katika wodi ya Sewahaji, Sadick Dimoso (35) mkazi wa Morogoro alisema hali sasa MNH ni mbaya.

“Tumeambiwa tuondoke wodini bila ya kuruhusiwa na daktari, hii ni hatari tena wanasema tuondoke tukakae huku hadi wiki mbili ndio turudi kuangalia,” alisema Amina Ramadhani, aliyekuwa akisubiri kufanyiwa upasuaji wa jicho. Alisema hatua ya kutakiwa kuondoka hospitalini hapo imekatisha matarajio yao ya kuendelea kuwa hai na kuitaka Serikali kufanyia kazi madai ya madaktari.

Wakati kundi la watu wengine wakililia huduma hosptalini hapo, baadhi ya ndugu za wagonjwa waliingia katika mgogoro na walinzi wa wodi hiyo ya Sewahaji wakitaka waandishi wa habari kuingia wodini.

Vikao vya Kamati Wakati hayo yakijiri, vikao baina ya madaktari na Kamati ya Kudumu ya Huduma za Bunge, viliendelea jana katika ofisi ndogo za Bunge huku taarifa zake zikiwa ni siri

LINDSEY PAVAO MAKES THE JUDGES "SAY AAH" ON "THE VOICE"

Lindsey Pavao had probably the most unique audition on ‘The Voice‘ so far, which makes sense when you consider what her original aspirations were as a child. “When I was kid, I wanted to be an inventor,” she told the crowd. Instead, Pavao reinvented Trey Songz‘s ‘Say Aah.’Pavao’s performance was teased in a promotional video for the series, which showed her being fought over by three judges thanks to her unusual approach to the track. Pavao showed her Radiohead, Nirvana and Incubus influences, but everyone agreed with judge Blake Shelton when he said she evoked Fiona Apple.

Christina Aguilera picked her first, smugly slapping down a heavily bejeweled hand. She was immediately followed by an equally enthusiastic Cee Lo Green, who exclaimed, ”I like it!” Shelton was the last judge to choose Pavao, but not the least passionate.

“I love your voice, and your hair is bada–,” Shelton gushed. She had the same hair as Xtina! Shelton then tried flattery (which is usually Cee Lo’s forte), telling Pavao that she’s beautiful.

Xtina is a fighter, though, and she wouldn’t let Pavao out of her grip without a battle. “You have such a unique quality to your voice, and I don’t want to touch that,” Aguilera said, adding, “I just want to play with you.” She backed into a wisecrack from Shelton, who smirked,”That’s weird!”
“I would like to help nurture that,” Cee Lo said of Pavao’s talent, “and all jokes aside, I’m a really great coach.”

Visibly humbled and in shock at the decision she had to make, Pavao thought it over for a bit before choosing … Xtina!
Aguilera was absolutely thrilled. “You’re awesome, you have a beautiful voice, a beautiful face — you inspire me,” Aguilera told her. “If you grab my attention just by being you, I’m not gonna mess with that.”

DEZ DURON FAILS TO MAKE IT THROUGH ON "THE VOICE" WITH BACKSTREET BOYS COVER

Dez Duron gave up a lot to audition for ‘The Voice,’ so it was pretty heartbreaking when the absolutely adorable college student didn’t prompt any of the judges to whip their chairs around with his performance. 

Before he moved out to California to pursue a career in singing, Duron was attending Yale and playing football for the Ivy League institution. He took a semester off to appear on ‘The Voice,’ but his cover of the Backstreet Boys‘ ‘I Want It That Way’ just didn’t cut it.

The Louisiana native was hoping to make his dad proud, since Duron’s father is the inspiration behind his singing and football career (dad won a Grammy for writing the song ‘We’ve Come to Worship’). He said, “[My father's] been a hero of mine since I was really young. Today is huge, so obviously I’m feeling some nerves.” When he took the stage, Duron showed off his very distinct and interesting voice, which sounded a bit nasally at times.

At one point, Blake Shelton turned to Adam Levine and said, “That’s right up your alley!” Cee Lo Green also encouraged Levine to turn around, saying, “Take a chance, Adam!” However, the very particular Levine never turned around. 

Christina Aguilera was kicking herself for missing out on coaching the handsome crooner, while Levine’s fellow judges were taking jabs at him for not picking Duron. When Levine told Duron, “I think for me, it was maybe stylistically we wouldn’t jam so well together,” he was met with some disagreement from his fellow judges.

We honestly feel kind of bad for Duron, since it seems like one of the other judges would’ve maybe turned around if they had known Levine wasn’t going to turn around. Keep your chin up, Dez!

AIR FORCES ROCKER ANGIE JOHNSON IMPRESSES CEE LO GREEN WITH "THE VOICE" AUDITION

 
While a few contestants on ‘The Voice‘ have had record contracts, released singles and cut albums, few are more famous that Angie Johnson. The Air Force Staff Sgt. had a video on YouTube that attracted over one million hits within days of being posted.

Host Carson Daly was one of those people watching, and he personally tracked her down. “I saw a woman in a military outfit singing an incredible Adele song,” he said, before making Johnson blush by calling her cute. Fans expecting a re-creation of the pop song got a surprise however, when Johnson broke into a near-perfect version of Pat Benetar’s ‘Heartbreaker,’ after admitting to being more nervous than she was during her seven tours to the Middle East.

Cee Lo Green turned around early and got to watch the military babe toss her hair around like she’s been working the stage for years. “I love a woman with guts, with power, with confidence,” he said, after pulling out a pair of gag glasses to make sure she was good looking. “Come on down!”
“The last note I was like, ‘Oh my God I let Cee Lo get away with one,’” Blake Shelton admitted. But with no one else turning around, she joined Team Green.

GWEN SEBASTIAN WILL "STAY" ON TEAM BLAKE ON "THE VOICE"


Gwen Sebastian of North Dakota’s initial appearance on ‘The Voice‘ was misleading. With her short and spikey two-tone hair, she looks like she’d be belting Pat Benatar in a dimly lit dive bar. The image is further driven home by her black-clad drummer boyfriend, whom she affectionately calls “Lala,” and with whom she put off a wedding and children to pursue music.

That image is shattered as soon as you hear her sing.
As soon as Sebastian opened her mouth to the opening notes of Sugarland‘s ‘Stay,’ you knew where her heart was: country. So did Blake Shelton, who hit button first, closely followed by Cee Lo Green, who blew her kisses (such a flirt!).
Adam Levine hit his button in her final notes, while Christina Aguilera remained the only judge not moved to make her a teammate. Sebastian was moved to tears onstage.

Shelton spoke first. “You’re a great country vocalist,” he gushed, “Every quality: you’re tender in the right places and you’re powerful in the right places. You know what you’re doing,” Shelton said. “You’re very developed,” he said before throwing in a dig at a certain ‘F— You’ singer. “Cee Lo has another meaning of developed when he talks to you. I’m your country guy,” Shelton assured her.  ”I’m your man.”

Levine tried as hard as he could to sway Sebastian to his side. “He is a country singer,” Levine admitted, referring to Shelton. “It makes total sense to go with Blake.” However, Levine let Sebastian know that he’d love to work with someone so different from him to get a fresh perspective. Tempting, no?

Then came Cee Lo’s turn to appeal to Sebastian. “From the very beginning your voice projected so well,” Cee Lo said simply. “I just wanted to turn around and let you know that you are appreciated.” Aww!

Aguilera even admitted that she knew Sebastian was talented, but didn’t want to fight off the other three judges. “I’m glad I wasn’t in this one!”

There was no need, because Sebastian’s mind was made up long ago. “My heart is country,” she said, somewhat apologetically, to Levine. She turned to Shelton and confirmed what we all knew already. “Blake, I would be honored to be on your team.”

The sentiment was a mutual one. After Sebastian skipped offstage, Shelton guffawed in everyone’s faces. Cold, Shelton!

PAMELA ROSE'S HOPES FOR GLORY ON "THE VOICE" ARE "ALREADY GONE"

Tonight on ‘The Voice,’ it seemed every contestant with a sob story was getting cut from the competition. When Pamela Rose, a beautiful 20-something songstress, walked onto the NBC set, she teared up while talking about how overjoyed she was to have her mother with her. Rose didn’t get to see much of her mother when she was younger, since she was constantly working to support her and her sister. She said, “[My mother] gave her life for my sister and I. It makes this experience that much more amazing.”

It’s too bad for Rose that this wasn’t a beauty competition, because the stunning songstress failed to impress with her vocal performance. As she performed a pitchy rendition of Kelly Clarkson‘s ‘Already Gone,’ Rose didn’t really astound ‘The Voice’ judges (or us) with her less-than-stellar voice. It’s not that she was bad, but she definitely didn’t stand out in comparison to the other talent the judges have recruited for their teams.

When she finished singing, the four judges turned around, and you could immediately tell that the guys were having “Oh crap” moments at the sight of Ms. Rose. Adam Levine confirmed our suspicions when he said, “Cee Lo‘s killing himself right now.” Green agreed, saying, “I’m very disappointed.” Levine and Christina Aguilera then elaborated on why they didn’t turn around, saying she had pitch issues. Rose took the critiques like a true professional though, and managed to stay positive despite fighting back some tears backstage.

"THE VOICE" JUDGES TELL KIM YARBROUGH SOMETHING GOOD

“This will be the first time I’m able to live, sleep and eat my career,” she said. Kim Yarbrough has had a lot of jobs, including a stint at a potato chip factory and as a security detail for Dave Matthews Band — but no career that she loved. That is, until she auditioned for ‘The Voice.’


At 50, Yarbrough felt this may be her last chance to go for her goal. ”When you tell people you think they’re too old, you’re depriving them of something,” she said. “There’s always room to grow and learn.”


With her performance of ‘Tell Me Something Good,’ Yarbrough showed she can probably teach. With her voluptuous frame, voluminous curls and guttural voice, Yarbrough is, in sound and sight, a dead ringer for Chaka Khan.


Christina Aguilera teased her hand around the button, then pulled it back. Cee Lo Green danced in his seat. Adam Levine hit his button in the first chorus, then danced at his seat, followed immediately by Aguilera. Blake Shelton and Cee Lo stayed put.


As soon as Yarbrough stopped singing, Levine asked her name. When she replied, “Kim,” he corrected her: “Your name is Chaka Khan, baby! That’s what I wanted to see!” He recognized that he faced some steep competition from Aguilera. “This divalicious young lady over here wants you too,” he said, “so we’re going to fight over you like children.”

He was almost right, but Xtina kept it cordial. “As soon as I heard that song,” Aguilera said, “I knew you were a force to be reckoned with.”


When Yarbough was deciding, Shelton offered to help. “Adam won this thing last year,” Shelton told her. “Christina didn’t.” Tell us how you really feel, Blake! Whether it was his influence or her gut instinct, Yarbough made her decision somewhat predictably. ”I love all of you, thank you so much,” Yarbrough said, “but I think I’m gonna go with Adam.”

RIHANNA HITS HOLLYWOOD CLUB CIRCUIT....

In what’s becoming commonplace these days, Rihanna has been snapped arriving at yet another nightclub.

The hazy-eyed model, who seems to be channelling chart rival Beyonce these days, donned an a barely-there ensemble as she made a bee-line for the Greystone Manor hotspot last night.

We thought it was just her vocals, yet it seems everything from her appearance to behaviour is growing more erratic by the day.

Being the caring site we are, we’ve been angling for the Bajan to “get some rest” for a hot minute. Yet judging by her latest antics (hair, tattoos, incessant partying), perhaps the stage is the best place for her. Even if our ears and eyes feel otherwise.

JAZMINE SULLIVAN CONFIRMS "NEW ALBUM" IN THE WORKS


Even though the talentless still reign supreme, the successes of vocal divas as of late is reassurance that there is hope yet.  For, without question, what the industry has ‘needed badly’ would be the prowess of a vocalist comparable to that of ‘Need U Bad’ beauty Jazmine Sullivan.

Last year may have seen the 24-year-old announce an ill-received departure from music, but now fans can rejoice at this weekend’s Twitter announcement:
(click to enlarge)

jazsull 300x92 Jazmine Sullivan Confirms New Album In the Works
*insert excitement here!*
While not completely mute on the musical tip as recent months have seen her lend the pen to Monica‘s ‘Until Its Gone’ and other R&B numbers, we at TGJ still are ready for Sullivan to make her own splash on charts.  Overlooked gems from the singer’s sophomore album ‘Love Me Back’ are still on CONSTANT repeat at TGJ headquarters!

NEW MUSIC: MONICA AND BRANDY-"IT ALL BELONGS TO ME"


It’s here!
Monica and Brandy‘s hotly anticipated duet ‘It All Belongs To Me’ premiered on V103 moments ago.

Get all the way into the Rico Love produced cut after the jump…
‘The Boy Is Mine’ this is not.
However, the Pop flavoured mid-tempo is solid on its own stiletto’s. Melodically rich and hook-heavy, the track packs all the right ingredients for a radio hit. A characteristic which, thankfully, doesn’t implicate the vocal performances of the ladies; who – now vocally older and wiser – turn in impressive showings. We like. Do you?

CHECK: TEAIRRA MARI DISHES ON NEW ALBUM,MOVIES AND DATING SNOOP DOGG


This summer, ‘No Daddy‘ belle Teairra Mari releases her long awaited new album, her first under Rico Love‘s ‘Division One‘ label.
So in support of the release, the star took to ‘NE Video‘ to discuss its sound, her role on VH1′s ‘Love & Hip Hop‘, her unfortunate departure from Def Jam and her love for Big Sean.
Watch the interview below…



With Rico Love behind her, we’re sure the album will live up to the hype that it is slowly garnering.


Our only hope is that her material is backed by a well thought out promo campaign, which sees her reintroduced to mainstream audiences and endorse every cut on the record, not just a select few.


Because with talent and star quality as undeniable as hers, there is no reason she can’t be the Ashanti of this generation, an urban act with solid Pop appeal.

JULIE MUTESASIRA RELEASES NEW GOSPEL SINGLE TITTLED "NINZE"

Female Gospel musician Julie Mutesasira has released a new single titled Ninze. This new song was officially released three days back and is already having massive reception here on mguso.com and across other media.


In Ninze (I am waiting), Julie Mutesasira re-affirms her belief and commitment to God and his only son Jesus Christ. She thanks God for the multiple good things He has always done for her without request. Julie says that she will continue to wait for God to change her life, turn bad to good and give her whatever she desires. 


Ninze is a great inspirational single that I predict to do well in the gospel circles this year. 


Julie Mutesasira is one of new big names in the gospel industry. Last year, she launched her Yani album at Theater Labonita and got a full house turn up.

Sunday, February 5, 2012

"ZIBA AMAASO VIDEO BY JEMIMAH SANYU"

 
What would you want of a good song that is not in this piece? The sound track is typically Zouk and so amazing. The voices of the artist are the best thing you would ever want to listen to from a Zouk or RnB musician. When it comes to the video, Jemimah the main actor and singer is so happy to the fullest, indicating that in all corners, she can’t be shaken because she has got the love.

Ziba Amaaso single was first officially performed at the Diva Music awards grand final event 2011 at theatre La Bonita and with no doubt, the positive reception for the song from the audience highlighted potential of this single hitting so well in the local music market, as long as nothing goes wrong with its promotion. Ziba Amaaso is translated as ‘Close Your Eyes’.

Jemimah Sanyu is a multi talented vocalist and vocal trainer who has for some time now been working underground helping many talents grow, vocally and musically. She majorly worked with Grayce Records based in Kanyanya, Kampala. In 2011, Jemimah got a deal to work with Rwanda’s Bantu band and this did not only give her chance to adventure but also helped in Jemimah growing her talent much more. 

Ziba Amaaso is one among a number of good songs that Jemimah Sanyu has so far released; this particular one being Jemimah’s most popular song among different music fans online.  Before Jemimah released Ziba Amaaso single and Amaaso Gogeera featuring Navio, she had other singles such as I am Ugandan, Kankusute and Kankuyimbire Akayimba and more.

Ziba Amaaso video is out, looking good and nice for the eyes. The video features Jemimah Sanyu, some few notable City Rock Entertainment boys plus other crazy men and girls. The video was shot from a classy home; it comes with good shots and views of this home. Good lighting and color has of late become a good habit of Ark Menz films’ company producers and this what you will find in Ziba Amaaso video. The audio was produced by Legend P from Fenon records.

"EMPRESS IN NOW NOW SEMBELA VIDEO".....

 
Wow, I am envying the looks of Joy Tumusiime aka Empress in her new music video. She looks nice and so amazing. And the man actor as well, is the right choice for Now Now (Sembela) her latest release.

Empress is a popular Dancehall artist that rose to fame in 2010 with her songs such as Awete, Empress and others.
Empress’s song like Aneepena and Nakibuka featuring Coco Finger have in the past made appearance on the prestigious Mguso Charts top 20 countdown, You can check Empress profile page for details. She has also been previously nominated in the Diva Music Awards 2010 Ragga-Dancehall category. Empress has a big name among the youth in secondary schools and universities.

Now Now (Sembela) and Aneepena are some of the songs off Empress’s Superstar album that is produced by Hannz Tactiq, Emon of South Side Studios, and Steve of Ark Records. “The album is majorly composed of singles by Empress, and a few collaborations with artists like Mighty Son and a few surprise artists.

Now Now video features Empress, and one guy who acts as her lover, mainly at a beach place, and woody areas where Empress is seen dancing. The picture quality, lighting and colors used in the video are great and natural. The video has a real tale of a good local beach that is majorly made up its natural amenities such as the glass, water and sand.

Like I mentioned in the first paragraph, Empress looks good and happy in Now Now (Sembela) video. Together with the guy, they make up an interactive play and have KB through most of the clips in the video. From a distance , you might feel they are actually in love, but for the way this guy presents himself, to me he looks more of an actor trying to send out a message and feel good as Empress tell him that ‘he is the owner of her life’, Empress, Now Now , what about GOD?
Now Now Sembela audio was recorded at Ark Records and the video was done by Ark Menz Films.