Mshiriki wa shindano la “Cheza, Vaa, Imba Kama Rihanna” akionyesha uwezo wake wakati wa utambulisho wao.
Kundi zima la Wanaume Halisi likiwajibika jukwaani.
Nameless akitumbuiza na mmoja wa mashabiki aliyemwita apande jukwaani. Warembo wakionyesha ujuzi wao.
Mashabiki waliofurika katika tamasha hilo wakifuatilia burudani hiyo.
No comments:
Post a Comment